Kumbukizi ya Steven I. Y. E. Mrikaria (1963-2018)
Autor: | Mutembei, Aldin |
---|---|
Jazyk: | Swahili |
Rok vydání: | 2020 |
Předmět: | |
Druh dokumentu: | Článek |
ISSN: | 1614-2373 |
Popis: | Steven I. Y. E. Mrikaria, Mhadhiri wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aliyezaliwa mnamo Disemba 9, 1963, ameaga dunia mnamo Januari 17, 2018. Aldin K. Mutembei aliye msomi mweledi na mwanaharakati mashuhuri wa lugha na fasihi ya Kiswahili anamwenzi Marehemu Steven Mrikaria akielezea mchango wake katika utafiti na ufundishaji wa lugha na fasihi ya Kiswahili na kumkumbuka kama msomi mwenzake na rafiki yake wa siku nyingi. Steven I. Y. E. Mrikaria, Lecturer at the Institute of Kiswahili Studies, University of Dar es Salaam who was born on December 9, 1963, passed away on January 17, 2018. Aldin K. Mutembei, accomplished scholar and most eminent activist of Swahili language and literature honours the late Steven Mrikaria by elucidating his contribution to the research and teaching of Swahili language and literature, and remembering him as a fellow scholar and a long-time friend. |
Databáze: | Networked Digital Library of Theses & Dissertations |
Externí odkaz: |