Kuwa shujaa

Autor: Liz Shmuilov, KidKiddos Books
Kategorie:
Popis: Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu za shujaa ambazo huwasaidia kukamilisha misheni yao ya kwanza. Wanafanya kazi pamoja na kumsaidia kaka wa Maya, kujifunza mambo mapya kuhusu wao wenyewe. Je! unataka kuwa shujaa pia?
Databáze: eBook Index