Zobrazeno 1 - 1
of 1
pro vyhledávání: '"Peris Mwihaki Ndung'u"'
Publikováno v:
East African Journal of Swahili Studies. 5:215-223
Lugha ni kipengele muhimu cha utambulisho ambacho huweza kuwaunganisha, kuwatenganisha au kuwabagua wazungumzaji katika jamii. Utambulisho ni mtazamo wa kibinafsi wa mtu, yeye ni nani na vibainishi vinavyoashiria ushirika wake katika kikundi fulani c