Zobrazeno 1 - 1
of 1
pro vyhledávání: '"Odeo Isaac Ipara"'
Publikováno v:
East African Journal of Swahili Studies. 5:25-38
Walimu wanaofundisha katika shule za upili hupata mafunzo yao ya kitaaluma kutoka katika vyuo vikuu mbalimbali. Wanapoandaliwa vyuoni, walimu hawa hupewa mafunzo kwa kutumia mitalaa tofauti inayoandaliwa katika vyuo vikuu hivyo. Baada ya kuhitimu, wa